Licha ya kuandamwa na tuhuma za kughushi vyeti, Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Paul Makonda amesema hawezi kuzungumzia suala hilo kwani majibu
yake yapo mtandaoni sakata lilipoanzia.
Makonda amesema hayo Jana (Ijumaa) alipoulizwa swali na wanahabari kuhusu uhakika wa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa alinunua vyeti na kutumia jina lisilo lake.
Chanzo: Mwananchi
Makonda amesema hayo Jana (Ijumaa) alipoulizwa swali na wanahabari kuhusu uhakika wa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa alinunua vyeti na kutumia jina lisilo lake.
"Maswali ya mitandaoni yanaishia mitandaoni siko hapa kupoteza focus (mwelekeo). Ukiona maneno mengi yanaibuka kwenye ishu ya dawa za kulevya ndiyo ujue vita imefika penyewe," amesema Makonda.
Chanzo: Mwananchi
0 comments :
Post a Comment