
Pamoja na hayo Kamanda Sirro amejibu maswali ya waandishi likiwamo kuhusu kumshikilia Mchekeshaji Steve Nyerere ambapo amesema……>>> “kama ameitwa atakuwa ameitwa na wapelelezi sijapata habari zake, kwa kuwa kuna timu inashughulika na mambo haya“
Hii video hapa chini ina kila kitu alichosema Simon Sirro leo, bonyeza play tu kumtazama
0 comments :
Post a Comment