Watangazaji Tisa(9) wa TBC 1 walioandaa,
walioandika na kutangaza habari juu ya Rais wa Marekani Donald Trump kumsifia Rais Magufuli wamesimamishwa kazi.
walioandika na kutangaza habari juu ya Rais wa Marekani Donald Trump kumsifia Rais Magufuli wamesimamishwa kazi.
Mkurugenzi wa TBC Ayubu Ryoba alikasirika sana na kuamua kuwasimamisha wafanyakazi hao wakiongozwa na Gabriel Zhakaria
0 comments :
Post a Comment