RAIS BARACK OBAMA ATEMBELEA UBALOZI WA ZAMANI WA MAREKANI ULIOLIPULIWA MWAKA 1998 NAIROBI KENYA

.

 Wananchi wa Kenya wakiwa na shauku ya kumwona Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama alipotembelea Ubalozi wa zamani wa Marekani uliolipuliwa mwaka 1998 jijini Nairobi nchini Kenya.
 Wananchi Kenya wakiwa na furaha ya kumwona Rais Barack Obama alipotembelea jengo la Ubalozi wa Marekani nchini Kenya lililolipuliwa mwaka 1998.
 Watu ni wengi kweli kweli wakiwa na shauku ya kumowna Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama ambaye ameandika historia mpya ya Rais wa kwanza wa Marekani aliyemadarakani kutembelea nchini Kenya.
 Wanahabari wa kimataifa na wazawa wakiwa kwenye eneo la tukio

Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili sauti ya Amerika Dr. Hamza Mwamoyo (kushoto) akiwa eneo la tukio kuhabarisha yote yaliyojiri pande hizo kwa ujio wa Rais Barack Obama.



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment