Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
ameendelea na mpango wake wa kubadilisha muonekano wa jiji la Dar es
salaam kufikia viwango vya majiji ya kimataifa leo hii amegusa idara ya
miundombinu ya barabara ambayo ni moja ya nyenzo ya ukuaji wa kiuchumi
kwa taifa lolote lile.
Ombi la ujenzi wa miundombinu ya barabara ya bandari via kidongo chekundu yenye urefu wa km 1 ambayo ndio kiungo kikubwa kwa upande wa bandari hapa nchini lilitolewa na Paul Mkaonda miezi 2 iliyopita kwa kampuni ya ujenzi ya kizalendo ya Grant Tech Company, Mkandarasi huyu amekabidhi barabara iliyokamilika kwa kiwango cha zege yenye zaidi ya thamani ya mil 750. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment