Wananchi wa jamii ya wafugaji
waliposimama katikati ya barabara ya kuingia Makao makuu ya Hifadhi ya
Taifa ya Ngorongoro kwa lengo la kuzuia msafara wa Kamati ya Bunge ya
Maliasili na Utalii ilipotembelea Ngorongoro.
Wananchi wa jamii ya wafugaji
wanaoishi katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro wakilelekea makao makuu
ya Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro mara baada ya kuomba kutoa
kero zao mbele ya kamati hiyo.
Mkuu wa wilaya ya
Ngorongoro,Rashid Taka akitoa neno la ukaribisho kwa wajumbe wa kamati
ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii ilipotembelea wilaya ya
Ngorongoro.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge
ya Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashasta Ndetiye akizungumza na wananchi
wa jamii ya wafugaji makao makuu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
Wananchi wa Ngorongoro
wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili
na Utalii,Atashasta Ndetiye alipozungumza nao.
Mbunge wa jimbo la Siha na
Mjumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasi na Utalii ,Godwin Mollel
akizungumza wakati wa kikao hicho.
Mwenyekiti wa Baraza la
Wafugaji Edward Maura akitoa malalamiko yao kwa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Maliasili na Utalii ilipofika makao makuu ya Mamlaka ya Hifadhi
ya Ngorongoro kuzungumza naao.
Wananchi wa jamii ya Wafugaji
wanaoishi katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro wakifanya maombi mara
baada ya kumalizika kwa kikao na Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Utalii.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.
0 comments :
Post a Comment