RAIS wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania, DKt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi ujenzi wa gati bandari ya Mtwara, amesema si lazima mafuta yote kushushiwa Dar, meli ziende Mtwara na kuyasambaza kwingine.
Hizi ni sentensi 5 alizongumza leo akiwa Mkoani Mtwara.
1. Wakandarasi waliosaini mkataba kupanua Bandari ya Mtwara wasirudi Dar es Slaam, waanze kazi kesho.
2. Faida namba moja kwenye ujenzi wa Gati Na.2 nayotaka kuiona, ni wananchi wa eneo hili wanapata ajira toka kwenye mradi huu.
3. Hakuna sababu ya mafuta yote kushushiwa Dar es Salaam, meli za mafuta zije Mtwara na kusambaza mafuta maeneo ya jirani.
4. Huyu Mkandarasi mliyempka kazi ingekuwa mimi nisingempa. Alipewa kazi ya barabara hakukamilisha kwa wakati.
5. Sijui ninyi mmekubalianaje au kama amejirekebisha. Ila kwavile nitakuwa nafuatilia mimi mwenyewe, ikiharibika naju.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment