Alichozungumza Rais Wa TFF Kuhusu Point Tatu Walizopewa Simba

Baada ya kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii  kwa taarifa zinazodaiwa kutoka kwa Rais wa TFF Jamal Malinzi kuwa ametengua maamuzi ya kamati ya saa 72 kuipaSimba point tatu dhidi ya Kagera Sugar katika kikao chao cha juzi April 13, Rais wa TFF Jamal Malinzi amekanusha taarifa hizo.
Rais wa TFF Jamal Malinzi
Jamal Malinzi amekanusha taarifa feki zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa yeye ametengua maamuzi ya kamati ya saa 72 ya kupewa point tatu kwaSimbaMalinzi amenadika ujumbe kupitia ukurasa wake wa twitter “Taarifa zinasombaa kwenye mitandao kuwa nimetengua maamuzi ya kamati ya uendeshaji wa ligi si za kweli.TFF ina taratibu zake za kutoa maamuzi”
Taarifa feki iliyokuwa ikisambazwa katika mitandao ya kijamii kuhusu Jamal Malinzi

.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment