Rais John Pombe Magufuli amemteua kamanda Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kamanda Mangu kupangiwa kazi nyingine.
Ikulu, Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufidi leo
tarehe 28 Mei, 2017 amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa
Jeshi la Polisi(IGP).
Kabla va Uteuzi huoIGP Simon Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
IGP Simon Sirro anachukua nafasi ya ErnestMangu ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa IGP
Simon Sirro ataapishwa kesho Jumatatu tarehe 29 Mei, 2017 saa 3:30 asubuhi Ikulu
Jijini Dar es  salaam