Hivi kariburi Rais JPM alikabidhiwa ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma ambapo ilibainika watumishi 9,932 walighushi vyeti ili kupata ajira katika ofisi za umma.
Kutokana na ripoti hiyo ofisi kadhaa za umma katika jiji la Dar es Salaam zimekuwa zikishuhudia watumishi wakianza kuondoka.
Tumemtafuta Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ambaye moja ya mambo aliyoyatolea ufafanuzi ni pamoja na athari za sakata hilo katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam na hapa anafafanua.
“Kweli suala hili lina changamoto yake. Tayari madhara makubwa yameanza kutokea. Kwa mfano mimi secretary wangu sasa hayupo. Na hata secretary wa Mkurugenzi hayupo.” – Isaya Mwita.
Nimekuewekea
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment