
Story ambayo inatawala kwenye headlines mbalimbali kwa sasa ni ile inayotoka Mwanza ambako imeripotiwa kuwa upo mti ambao umegoma kukatwa. Mti huo uliopo pembezoni mwa Barabara ya Airport eneo la Pasiansi unadaiwa pia kuwa unazungumza jambo linalokusanya watu kwenda kuushuhudia.
Kutoka eneo la tukio na zimekusogezea FULL video ya tukio hilo ambalo unaweza kulishuhudia kwa ku-play…
Bonyeza Play hapa chini kutazama Full story…
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment