Breaking News:Rais Aridhia Maombi Yawalioomba Kuacha Kazi.......Yupo Mkuu Wa Mkoa



Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu Dar es salaam imeeleza kuwa Rais Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa Said Meck Sadick aliyekuwa RC Kilimanjaro, Aloysius Kabulizi na Upendo Hillary Msuya waliokuwa Majaji wa Mahakama Kuu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo May 16, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imesema Rais Magufuli ameridhia maombi hayo kuanzia May 15, 2017.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment