KESHO CHADEMA WANATARAJIA KUFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM MAJIRA YA SAA TANO ASUBUHI.
kupitia ukurasa wa twitter wa chadema leo tarehe 15/06/2017 wameandika taarifa hiyo ikisomeka“Tutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kesho Ijumaa 16/6/2017, Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni jijini Dar es salaam, saa 5 asubuhi.”
Imetolewa na:
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA
Tumain Makene.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA
Tumain Makene.
0 comments :
Post a Comment