Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).
Lowassa ameondoka makao makuu ya polisi saa 8.15 na kuelekea nyumbani kwake.
Lowassa ameondoka makao makuu ya polisi saa 8.15 na kuelekea nyumbani kwake.
Akizungumza baada ya mahojiano hayo, Mwanasheria wa Chadema, Peter Kibatala amesema Lowassa amejidhamini mwenyewe na ametakiwa kuripoti tena Alhamisi saa 6.00 mchana.
iliyoandaliwa na mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara. “Mzee amehojiwa kwa kile wanachokiita kauli ya uchochezi aliyoitoa Juni 23, mwaka huu wakati wa futari iliyoandaliwa na
Waitara.
Waitara.
Baada ya kuhojiwa ameandika Maelezo ya Onyo na
atatakiwa kuripoti tena Alhamisi, Juni 29,” amesema.
atatakiwa kuripoti tena Alhamisi, Juni 29,” amesema.
0 comments :
Post a Comment