Breaking news: Manara adhabu Yake yafutwa kuendelea kuwa Msemaji Wa simba


Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba Kamati ya nidhamu ya TFF imemuachia huru mkuu wa kitengo cha habari  wa klabu ya simba,Haji Manara  sasa kuendelea na majukumu yake kama kawaida.
Habari zaidi tutakuletea hapo badae
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment