Taarifa zilizotufikia nkupamah media ni kwamba mwenyekiti wa taasisi ya Imamu Bukhary Sheikh Khalifa Khamisi anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kutokana na mkutano wake alioufanya nawaandishi wa habari juzi.Polisi wanataka kujua kwanini aliunga mkono kauli ya Lowassa na pia kwa nini aliwataka Waislamu wote nchini kuungana kutetea haki za waislamu waliopo Magereza.
Katika mkutano huo na waandishi , Shekhe Khalfani alisema serikali isiusishe mauaji ya kibiti na waislamu wanaoshikiliwa mahabusu kwa sababu waislamu hao walikamatwa muda mrefu kabla ya mauaji hayo.
Zaidi angali video hii hapa chini kuona alichozungumza
0 comments :
Post a Comment