Man City Yaichapa Asernal Tatu Mtungi

 
Pep Guardiola anaongeza taji la 22 kwenye maisha yake ya ukocha, hii ni Baada ya Timu yake ya Manchester City Kuibuka na Ushindi Mnono wa magoli 3-0 dhidi ya Arsenal katika fainali ya kombe la Ligi maarufu kwa Jina la Carabao uliochezwa Leo katika dimba la Wembley.
 
Mshambuliaji Sergio Aguero wa Manchester City ndiye alikuwa wa kwanza kuifungia goli timu yake hiyo mnamo dakika ya 19. Bao la pili limefungwa na beki Vicent Kompany dakika ya 58 na la tatu likiwekwa kimiani na David Silva dakika ya 65. 
 
Hili litakuwa  kombe la Kwanza kuchukua katika ardhi ya Uingereza kwa kocha Pep Guardiola.Makombe mengine aliyowahi kushinda Kocha huyo ni:
La Liga: 🏆🏆🏆
Copa del Rey: 🏆🏆
Bundesliga: 🏆🏆🏆
DFB-Pokal: 🏆🏆
UEFA Champions League: 🏆🏆
UEFA Super Cup: 🏆🏆
FIFA Club World Cup: 🏆🏆🏆
League Cup: 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment