Okwi amejiunga na klabu yake ya zamani ya Sports Club Villa ya kwao Uganda kwa ajili ya kumalizia msimu, ina maana atakuwa na timu hiyo katika kipindi cha miezi mitatu.
Maamuzi ya Okwi kujiunga na timu ya Sport Club Villa kwa kipindi cha miezi mitatu yanatafsirika kama kucheza kujiweka fiti kwa ajili ya maandalizi ya kurejea Simba wakati wa usajili, kama utakuwa unakumbuka Okwi alijiunga na Sønderjyske ya Denmark na aliamua kuvunja mkataba baada ya kuona hana nafasi.
0 comments :
Post a Comment