Kibiti : Mtu Mmoja Auawa Kwakuchomwa Moto

Taarifa tulizozipata kutoka Kibiti ni kwamba Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 32 mkazi wa Kibiti ameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kusadikika kuwa ni jambazi.

Angalia video hii hapa chini ya tukio hilo

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment