Kimenuka: kikosi cha Taifa stars versus Rwanda Leo CCM kilumba

Taifa ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars leo itakuwa uwanjani kuchuana na Timu ya taifa ya Rwanda kwenye mchezo wa kutafuta kufuzu kuingia kwenye michuano ya CHAN itakayofanyika nchini kenya mwakani.M chezo huo utapigwa leo saa 10:00jioni kwenye uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza.


1:Aishi Manula
2:Shomari Kapombe
3:Gadiel Michael
4:Nurdin Chona
5:Salim Mbonde
6:Erasto Nyoni
7:Simon Msuva
8:Himid Mao
9:John Bocco
10:Mzamiru Yassin
11:Shiza Kichuya.


KIKOSI CHA AKIBA CHA TAIFA STARS.
1:Said Mohammed Ndunda
2:Salim Hoza
3: Boniface Maganga
4:Hamim Abdul
5:Rafael Daud
6:Joseph Mahundi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment