JAMAL Malinzi, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Katibu wake, Selestine Mwesigwa sambamba na Mhasibu wa shirikisho hilo, Nsiande Isawafo wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu katika mwendelezo wa kesi yao, anaandika Mwandishi Wetu.
Wahusika hao wamesomewa mashitaka yao na kisha kurejeshwa rumande kutokana na upelelezi kutokamilika ambapo sasa watarejeshwa mahakamani Agosti 11, mwaka huu.
0 comments :
Post a Comment