HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeshusha Riba kwa Benki Kutoka 12% hadi 9%


Benki Kuu(BoT) imetangaza kushusha riba kwa Benki zinazokopa BoT kutoka 12% iliyokuwepo hapo awali hadi 9%.

Kwa mujibu wa taarifa hii ya Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani, Bi. Julian B. Raphael inataarifu kuwa utekelezwaji wa kiwango hiki kipya unaanza tarehe 7 mwezi huu mpaka hapo yatakapofanyika mapitio mapya.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment