
hirika la Umeme Tanzania limesema chanzo umeme kukatika ghafla umeme baadhi ya maeneo Dar es Salaam kumesababishwa na hitilafu iliyotokea katika mitambo ya Songas.
Meneja Uhusiano wa Tanesco, Leila Muhaji ameliambia gazeti hili kwa simu tukio lilitokea maeneo mbalimbali yakiwamo Ubungo na Mbezi.


0 comments :
Post a Comment