Diwani wa CHADEMA wa kata Donyomurwak, wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro, Lwite Ndossi almaarufu “Nsonuu”, amejivua uanachama wa chama hicho, na kujiuzulu udiwani na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Amesema sababu za uamuzi huo ni kujiunga na watu wanaofanya siasa za kufanya kazi za maendeleo badala ya siasa za malumbano.
0 comments :
Post a Comment