Rais Magufuli Awasihi Viongozi Wa Dini Kuendelea Kuliombea Taifa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jonh Pombe Magufuli amewaomba viongozi wa madhehebu yote na dini kuendelea kuliombea Taifa, huku akiwaahidi kupata ushirkiano kutoka kwa Serikali yake.

Rais ameyasema hayo leokwenye Ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoriki la Dodoma.

"Nawaomba viongozi wa madhehebu yote ya dini tuendelee kuliombea Taifa letu liwe na amani na upendo na Serikali itashirikiana nanyi muda wote", imeeleza taarifa kutoka Ikulu.

Taarifa ya Ikulu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment