Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu leo ametangaza kurudi kwenye chama chake cha awali cha CCM.
Taarifa aliyoitoa kupitia ukuras wake wa Instagram amesema hawezi kuishi kwenye nyumba inayomkosesha amani hivyo anatangaza rasmi kuondoka CHADEMA na kurudi Nyumbani (CCM) .
"Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani... Peace of mind is everything for me... Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani.... #ThereIsNoPlaceLikeHome... Feels good to be Back...". Ameadika Wemasepetu kwenye ukurasa wake wa Instagram.
0 comments :
Post a Comment