Ajali Ya Ndege Yaua Watu Sita


Picha ya mtandao
Watu 66 wamefariki papo hapo kwenye ajali mbaya ya Ndege iliyotokea leo asubuhi huko nchini Iran baada ya kuanguka mlimani.
Ndege hiyo yenye namba ATR-72 iliyokuwa ikisafiri kutoka Tehran kwenda jijini Yasuj imedondoka katika milima ya Semirom iliyopo kusini mwa Iran.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka shirika la habari la AP, Watu wote waliokuwemo kwenye ndege hiyo wamefariki huku chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment