Waziri wa Elimu,sayansi na teknolojia Prof.Joyce ndalichako amesema serikali imepata pigo na kuingia hasara kutokana na kifo cha mwanafunzi wa NIT aliyepigwa risasi juzi,Akwilina kwilina kwa sababu alikuwa miongoni mwa wanafunzi wanaopatiwa mkopo na serikali.
Waziri ndalichako amesema wizara yake itagharamia shughuli za mazishi za msiba huo. Pia amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi kuhusu tukio hiulo la kusikitisha.
Zaidi angalia video hii hapa
0 comments :
Post a Comment