Alieidhinisha kiapo kwa Odinga, Miguna Miguna amelazwa hospitali

Leo March 29, 2018 stori ninayokusogezea ni kumhusu Mwanasiasa wa Kenya aliyeidhinisha kiapo kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa ‘Rais wa Wananchi’ Miguna Miguna amelazwa hospitalini Dubai baada ya kulalamika kuwa ana maumivu ya mbavu.
Miguna ambae amefukuzwa nchini Kenya kutokana na mzozo wa Uraia wake amedai alipigwa na askari wakati wanamuondoa Airport.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment