Inafahamika kwamba Mwimbaji wa Bongofleva Belle 9 ndio alikua Msanii wa kwanza kumtambulisha Video Queen Agness Masogange kwenye bongofleva baada ya kufanya nae video na jina la Masogange ndio likaanzia hapo.
Belle 9 alikua miongoni mwa Mastaa waliosafiri mpaka Mbeya kumzika Agness Gerald maarufu kama Masogange ambapo alipewa nafasi ya kuongea msibani lakini majonzi yalichukua nafasi kubwa kuliko kuongea kwake, tazama zaidi kwenye hii video hapa chini
0 comments :
Post a Comment