Meya wa Ubungo Boniface Jacob amedai kupekuliwa nyumbani kwake na watu watano, wawili wakiwa wamevaa sare za JWTZ, hivyo ameomba mamlaka zinazohusika zichunguze suala hilo na kuchukua hatua kwani hakupewa taarifa yoyote ya kufanyika upekuzi huo na hakuwepo nyumbani kitendo hicho kikifanyika.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment