Mbunge wa viti maalum mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Catherine Magige alisimama Bungeni leo April 23, 2018 ili kuchangia mapendekezo katika makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo alilieleza Bunge kuhusu utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli kuwa amewashika pabaya wapinzani.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment