Umati
wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Iringa, ukiwa umefurika kwa
wingi kwenye Uwanja wa Samora Mkoani humo, kumpokea Waziri Mkuu Mstaafu
na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, wakati
akiwasili kwenye Uwanja huo tayari kwa kukabidhiwa fomu za WanaCCM
waliomdhamini ili kumuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania
Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Iringa wamevunja rekodi ya Mbeya kwa uwingi wa wanachama waliomdhamini
Mh. Lowassa, amepata wadhamini 58,562 kwa mkoa wa Iringa pekee na
ukiongeza na wanaCCM 10,900 wa mkoa wa Njombe alikopita pia kupata
udhamini, unafanya jumla kuu ya wadhamini wote kufikia 69,462. PICHA
ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Iringa wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Samora Mkoani Iringa, tayari kwa
kukabidhiwa fomu za WanaCCM waliomdhamini ili kumuwezesha kupata ridhaa
ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa
kufanyika Oktoba 25, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Iringa waliokuwa
wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Samora Mkoani humo.
Umati wa Watu wa Iringa.
Ujumbe kutoka kwa Rafiki wa Lowassa.
Sehemu ya WanaCCM waliomdhamini Mh. Lowassa.
Askofu
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa,
Dk. Owdenburg Mdegela akisoma Neno kutoka kwenye simu yake.


Sehemu
ya WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Iringa wakionekana ni wenye furaka
kubwa baada ya kusikia Neno kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Dk. Owdenburg Mdegela.
Chifu
wa Wahehe wa Mkoani Iringa, Chifu Hassan Adam Sapi akizungumza machache
na kutoa baraka za kichifu kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya
kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa katika Safari yake ya
Matumaini.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akipena mikono na Chifu wa Wahehe wa Mkoani Iringa, Chifu Hassan
Adam Sapi mara baada ya kupewa baraka hizo.
Salaam na Machifu wa Mkoa wa Iringa.
Bibi
huyu alijikuta akibubujikwa na machozi baada ya maneno ya Chifu wa
Wahehe wa Mkoani Iringa, Chifu Hassan Adam Sapi kumuingia.
Katibu
wa CCM Wilaya ya Iringa mjini akikabidhi fomu za WanaCCM waliomdhamini
Mh. Lowassa ili kumuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais
kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akizungumza na WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Iringa
wakati akitoa shukrani kwa waliomdhamini ili kumuwezesha kupata ridhaa
ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika
Oktoba 25, 2015. amepata wadhamini 58,562 kwa mkoa wa Iringa pekee.
Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku akiimba moja ya nyimbo zake wakati akiwasalimia wanaIringa.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akisalimiana baadhi ya Wazee wa Mkoa wa Iringa.
Mh. Lowassa akiwaaga wanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Iringa.
Akiwa
safarini kutokea Mkoani Mbeya kuelekea Mkoa wa Njombe, Mh. Lowassa
akilimamishwa na WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mji wa Igurusi Wilayani
Mbarali mkoani Mbeya ili azungumze nao kidogo.
Vijana wa Bobadoba wa Mkoa wa Njombe walijitokeza kwa wingi wao kumpokea Mh. Lowassa wakati alipowasili mkoani hapo.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mh. Luhingo Rweyimamu.
Akizungumza na mmoja wa Watoto wa Mji wa Njombe alikuja kumsalimia.
Akiwapungia WanaCCM na Wananchi wa Mji Njombe.
Dkt. Chegeni akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Njombe waliokuwa wamekusanyika kwa wingi kwenye Uwanja wa CCM wa Turbo.

Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akipokea fomu za WanaCCM zaidi ya elfu 10 wa Mkoa wa Njombe
waliomdhamini kutoka kwa Katibu wa CCM wa Wilaya ya Njombe, Clemence
Mponzi.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akizungumza na WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Njombe
wakati akitoa shukrani kwa waliomdhamini ili kumuwezesha kupata ridhaa
ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika
Oktoba 25, 2015. Mkoa wa Njombe alipata Udhamini wa WanaCCM zaidi ya
elfu 10.
Makambako.
Mh.
Lowassa akisalimiana na WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mji wa Makambako
Mkoani Njombe waliomsimamisha wakati akiwa safarini kuelekea Mkoani
Iringa.
Akiangalia Burudani ya Ngoma.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akisalimiana na Marafiki zake ambao ni Wakazi wa Mji wa
Makambako, Alfred Mtweve (kulia) na Angelusi Muhingu wakati aliposimama
kuwasalimia WanaCCM na Wananchi wa Mji huo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akifurahi jambo na Marafiki zake.
Mh. Lowassa akiwashukuru WanaCCM na Wananchi wa Mji wa Makambako, Mkoani Njombe waliomdhamini.
Kwaherini WanaMakambako.
"Kidumu Chama cha Mapinduzi"
Mh. Lowassa akivishwa skafu na Kijana wa Chipukizi wa CCM Wilaya ya Mufindi.
Mh.
Lowassa, akifurahi jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoani Iringa, Jesca
Msambatavangu (katikati) na Mkuu wa wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita
Mkuu wa wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita akiwasalimia WanaMufindi.
Shangwe tupu kwa WanaMufindi.
0 comments :
Post a Comment