BENKI YA CRDB YAZIDI KUMWAGA PASSO KWA WATEJA WAKE


 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto) akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter Fundi katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkabidhi mfano wa funguo mshindi wa Promosheni ya ‘Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter Fundi. Kushoto ni Meneja wa benki hiyo Tawi la Mzumbe, Jane Maganga.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter Fundi. Wa pili kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mzumbe, Jane Maganga na Meneja Uhusiano wa benki hiyo, Godwin Semunyu (kulia). 
 Peter Fundi akiwa katika gari lake aina ya Passo.
Mshindi wa Promptness ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo, Peter Fundi mkazi wa Morogoro akionyesha furaha yake baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya gari aina ya Passo.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza na waandishi wa habari

Posted by Nkupamah blog
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment