- Written by Nkupamah blog
Mwanamuziki nyota wa Nigeria, Davido.
Akizungumza na televisheni ya Notjustok, Davido alisema pia kwamba huwa anachanganya lugha za nyimbo zake akiwa nje ya Nigeria, hususan Marekani, ambako hutegemea kupata mashabiki wengi na fursa zaidi za kupiga shoo nyingi.
MWANAMUZIKI nyota
wa Nigeria, Davido, amesema ukosefu wa mafuta nchini humo uliotokea
miezi ya
Mei na Juni mwaka huu ambao ulisababisha matatizo makubwa,
ulimfanya alazimike kuahirisha kutoa albamu yake mpya hivi karibuni.Akizungumza na televisheni ya Notjustok, Davido alisema pia kwamba huwa anachanganya lugha za nyimbo zake akiwa nje ya Nigeria, hususan Marekani, ambako hutegemea kupata mashabiki wengi na fursa zaidi za kupiga shoo nyingi.
Alisema
pia mahafali yake ya kumaliza chuo ambayo ilifanyika mwezi Juni pia
ulikuwa kipingamizi cha kutoa albamu yake hiyo mpya.
0 comments :
Post a Comment