Nkupamah blog
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya
Kaskazini
Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dkt.Stephen
Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya dayosisi hayo
yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga leo.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya
Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)
Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya
dayosisi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga
leo.
Kukindi cha Matarumbeta kikitumhuza wakati wa maadhimisho hayo.


0 comments :
Post a Comment