Madaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno.Wakiwa Zanzibar

Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora leo siku ya Jumamosi July 25, 2015 walitembelea chuo cha elimu ya Afya na kutoa elimu ya afya ikiwemo Sratani ya Matiti.
Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora leo siku ya Jumamosi July 25, 2015 wakitoa elimu ya afya katika chuo cha elimu ya afya Zanzibar mapema leo Jumamosi July 25, 2015.
Wanafunzi chuo cha elimu ya afya Zanzibar wakiwa sikiliza Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora 
Madaktari wa kujitolea toka Marekani ambao wamepeletwa Tanzania na Jumuiya ya Watanzania DMV wakiratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa chini ya kitengo cha Diaspora leo siku ya Jumamosi July 25, 2015
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Idd Sandaly akielezea jambo wanafunzi hao.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment