Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye
ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu
J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa
wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye
mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar
es salaam.
Magufuli
amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa kumuamini na kumpa
nafasi ya kuipeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha Urais wa
jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Magufuli amesema hatawaangusha
watanzania atashirikiana na watanzania wote ili kuleta maendeleo ya
Tanzania kwa ujumla na akaongeza kwamba yeye siyo mkali ila anawachukia
wala rushwa na wazembe kazini hivyo atawashughulia polepooole.(PICHA NA
KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akikumbatiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Bw.
Ramadhan Madabida huku Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu na Mkuu wa mkoa
wa Dodoma Mh. Chiku Galawa wakishuka kwenye ndege
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
CCM
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh
Alhadi Mussa Salim.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Jerry Silaa mjumbe wa Kamati Kuu na aliyekuwa
Meya wa Ilala.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mh. Sophia Mjema Mkuu wa wilaya ya Temeke
katikati ni Anjela Kiziga.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Mh. Anjela Kairuki Naibu Waziri wa Ardhi
Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akivishwa skafu mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege
wa J.K.Nyerere akitokea Dodoma kushoto ni Mama Samia Suluhu Mgombea
Mweza na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Ramadhan
Madabida.
Wananchi mbalimbali wakitaka kumsalimia Mgombea Dr. John Pombe Magufuli.
Mbunge
wa jimbo la Kinondoni Mh. Idd Azan kulia na Meneja Mahusiano wa TBL
Doris Malulu wa pili kushoto wakiwa wameongozana na baadhi ya Ndugu na
jamaa wa Dr. John Pombe Magufulia wakiingia kwenye uwanja wa ndege wa
Mwalimu J.K.Nyerere tayari kiwa kumlaki.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akisalimiana na wananchi mbalimbali huku ulinzi ukiwa
umeimarishwa,
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliofika kumlaki uwanja wa Ndege
wa Mwalimu J.K.Nyerere.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi waliofika kumlaki pamoja na Mgombea
Mwenza mama Samia Suluhu kushoto kulia ni Ramadhan Madabida Mwenyekiti
wa CCM Dar es salaam.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na
viongozi mbalimbali wa CCM wakiwa katika jukwaa kuu kwenye mkutano
uliofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala.
Wabunge wa mkoa wa Dar es salaam wakitambulishwa kwenye mkutano huo.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika meza kuu.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akizungumza katika
mkutano wa hadhara wa kumtamulisha Dr. John Pombe Magufuli kwa wananchi
baada ya kuteuliwa na CCM kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania kupitia chama hicho mkoani Dodoma.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia ni Mgombea wa Urais Kupitia
CCM Dr. John Pombe Magufuli wakiwa katika mkutano huo.
Umati wa wananchi ukiwa umefurika kwenye uwanja wa Zakhem Mbagala.
Baadhi ya Ndugu na Jamaa wa Dr. John Pombe Magufuli wakiwa pamoja na wananchi wengine katika mkutano huo.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mgombea Mwenza Mama
Samia Suluhu ili kuzungumza na wananchi na kujitambulisha kwao.
Mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mama Samia Suluhu akisalimia wananchi na kujitambulisha kwao.
Umati wa wananchi ukiwa umefurika katika mkutano huo.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akikaribishwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
ili kuzungumza na wananchi na kujitambulisha kwao.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi na kujitambulisha kwao kwenye mkutano
uliofanyika kwenye uwanja wa Zakhem Mbagala.

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga ngoma za
tumba pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye kwenye
jukwaa la bendi ya TOT mara baada ya kumaliza kujitambulisha na
kuhutubia wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Mitambo ya Azam TV kwa mbaali wanaendelea na kazi yao nzuri ya kurusha matangazo ya moja kwa moja.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe
Magufuli akiondoka katika jukwaa mara baada ya kuzungumza na wananchi
na kujitambulisha kwao.

0 comments :
Post a Comment