Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange
baada ya kutunuku vyeti na zawadi kwenye mahafali ya kozi ya tatu ya
National Defence College iliyofanyika Kunduchi jijini Dar es Salaam leo
ambapo jumla ya wanafunzi 42 walihitimu masomo yao.
Picha na Freddy Maro
Amiri Jeshi Mkuu ,Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja n wahitimu wa kozi ya Tatu
ya Chuo Cha Ulinzi wa Taifa(National Defence College NDC) Kunduchi
jijini Dar es Salaam julai 24, 2015.Aliyeketi Pembeni ya Rais kulia ni
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange na
liyeketi pembeni ya Rais Kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Meja Jenerali
Gaudence Salim Milanzi.


0 comments :
Post a Comment