RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA ALIPOWASILI NCHINI KENYA

01
Rais Barack Obama wa Marekani akishuka kwenye ndege  mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi kwa ajili ya kufungua mkutano wa Kimataifa  wa kibiashara, Ugaidi na haki za binadamu  unaofanyika nchini humo kabla ya kuendelea na ziara yake nchini Ethiopia.(PICHA KWA HISANI YA MASHIRIKA YA KIMATAIFA)
02
Rais Barack Obama wa Marekani akipokea shada la maua mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
03
Rais Barack Obama wa Marekani akisalimiana na dada yake Auma Obama mara baada ya kushuka kwenye Ndege.
04
Rais Barack Obama wa Marekani akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta mara baada ya kushuka kwenye ndege wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
5
Rais Barack Obama wa Marekani akifurahia jambo  na mwenyeji wake Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta mara baada ya kusaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
9
Rais Barack Obama wa Marekani akipunga mkono huku akiongozana  na mwenyeji wake Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta mara baada ya kusaini kitabu cha wageni  alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.
10
Airforce 1 Ndege ya Rais Obama ikiwa kwenye uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi mara baada ya kumshusha Rais Barack Obama wa Marekani.
US President Barack Obama sits alongside his step-grandmother, Mama Sarah (L) and half-sister Auma Obama (R), during a gathering of family at his hotel in Nairobi, Kenya, July 24, 2015.  US President Barack Obama arrived in the Kenyan capital Nairobi late Friday, making his first visit to the country of his father's birth since his election as president. Obama was greeted by Kenyan President Uhuru Kenyatta with a handshake and embrace as he stepped off Air Force One, at the start of a weekend visit during which he will address an entrepreneurship summit and hold talks on trade and investment, counter-terrorism, democracy and human rights.  AFP PHOTO / SAUL LOEB        (Photo credit should read SAUL LOEB/AFP/Getty Images)

Rais wa Marekani Barack Obama  akiwa na bibi yake  Mama Sarah Obama kushoto na dada yake  Auma Obama katika chakula cha jioni na wanandugu wa familia ya Obama nchini Kenya Baba mzazi wa Barack Obama ni mzaliwa wa Kenya.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment