Mwenyekiti
wa Kampeni iliyolenga kupata fedha
kwa ajili ya kuwasaidia wanahabari wanaougua magonjwa sugu yakiwepo ya
saratani, (MEDIA CAR WASH FOR CANCER) , Benjamin Thompson akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa kutangaza kiasi cha fedha kilichopatikana
katika
harambee ya jijini Dar es Salaam ambapo kiasi cha shilingi Milioni 31
zilipatikan ikiwa ni ahadi na taslimu. Kulia ni Mjumbe wa Kamati hiyo
ambaye
pia ni Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO, Zamaradi Kawawa. Harambee
nyingine kama hiyo inataraji kufanyika Jijini Mwanza mwezi Agosti mwaka
huu.
Mwenyekiti
wa Kampeni iliyolenga kupata fedha
kwa ajili ya kuwasaidia wanahabari wanaougua magonjwa sugu yakiwepo ya
saratani, (MEDIA CAR WASH FOR CANCER) , Benjamin Thompson akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa kutangaza kiasi cha fedha kilichopatikana
katika
harambee ya jijini Dar es Salaam leo, ambapo kiasi cha shilingi Milioni
31
zilipatikan ikiwa ni ahadi na taslimu. Pamoja nao ni Wajumbe wa Kamati
hiyo Mkurugenzi Msaidizi wa MAELEZO, Zamaradi Kawawa (kulia) na Judicate
Shoo.Harambee nyingine kama hiyo inataraji kufanyika Jijini Mwanza mwezi Agosti mwaka huu.
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati hiyo wakiwa katika mkutano huo hii leo. Kutoka
kushoto ni Mroki Mroki, Leah Samike, Judicate Shoo, Mwenyekiti Benjamin
Thomson, Zamaradi Kawawa, Angela Michael Msangi, Grace Nakson na Somoe
Ng'itu. Harambee nyingine kama hiyo inataraji kufanyika Jijini Mwanza mwezi Agosti mwaka huu.
0 comments :
Post a Comment