Kitengo chaMawasiliano na Umma katika Idara ya Itikadi na Uenezi,
kinapenda kuujulisha uuma kwamba Akaunti yenye maneno hayo hayo hapo juu
siyo ya Katibu wa NEC, Itikadi na Unezi Nape Nnauye, bali akaunti hiyo
imetengenezwa na watu ambao tunaweza kuwaita kuwa ni wahuni kwa lengo la
kutaka kukata kiu ya wanachojitaji. Mtakaoisoma taarifa hiyo eleweni
kuwa si maneno ya Nape. Tabia hiyo siyo ya kiungwana na ya kimaadili
katika matumizi ya mitandao ya Kijamii, ni vema wanaopenda tabia hii
waiache kwa manufaa ya Tanzania
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment