WASIRA AMESEMA ...TOKEA ATANGAZE NIA ANAKULA SANA ZAIDI YA UWEZO WAKE ...KWANI NJAA UUMA KILA WAKAT

I

Ikiwa yamebaki masaa machache mchakato wa chuja chuja Mh Steven Wasira amedai anakula kuliko kawaida na kulala ipasavyo hana tatizo la kukosa usingizi,Ametoa dodoso hilo alipo ulizwa swali na mwandishi wa habari nguli wa Azam tv Chalz Hilaly.
Hana hofu juu ya mchakato huo anaamini viongozi watasimamia maadili na kufata sheria
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment