Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
baadhi ya Wanawake wanachama wa CHADEMA, waliokuwa wamefurika kwa wingi
nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la LAPF, Millennium Tower,
Kijitonyama jijini Dar es salaam leo Agosti 27, 2015.PICHA ZOTE NA
OTHMAN MICHUZI.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea mwenza
wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwasalimia baadhi ya Wanawake wanaounda
Baraza la Wanawake wa Chadema, waliokuwa wamefurika kwa wingi nje ya
Jengo la LAPF, Kijitonyama jijini Dar es salaam, wakati walipowasili kwa
kuhutubia Baraza hilo.
Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWICHA), Mh. Halima Mdee akizungumza
na Umati wa Kinamama wa Chama hicho, uliokuwa umefurika kwa wingi nje
ya Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la LAPF, Millennium Tower, Kijitonyama
jijini Dar es salaam leo Agosti 27, 2015, kabla ya kufanyika kwa Mkutano
wa Baraza hilo, uliohutubiwa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa.
Mke
wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mama
Regina Lowassa akiwasalimia Wanawake wa Chama hicho waliokuwa wamefurika
kwa wingi nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la LAPF, Millennium Tower,
Kijitonyama jijini Dar es salaam leo Agosti 27, 2015, kabla ya
kufanyika kwa Mkutano wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWICHA).
Wakinamama hao wakimshangilia Mh. Lowassa na Babu Duni wakati walipowasili Ukumbini hapo.
Mwenyekiti
Mwenza wa UKAWA, Mh. James Mbatia akiwasalimia kina mama hao ambao
walikosa nafasi ndani ya Ukumbi na kuamua kukaa nje.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni
akiwasalimia kina mama hao.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akizungumza
machache wakati akiwasalimia maelfu ya Wanawake wanaounda Baraza la
BAWICHA, waliokuwa wamekaa nje ya jengo la LAPF kutokana na kukosa
nafasi ndani ya Ukumbi huo. Mh. Lowassa alilazimika kusimama na
kuwasalimia kinamama hao kabla ya kuingia Ukumbini kulihutubia Baraza
hilo.
Mh. Lowassa na Ujumbe wake wakiwasili Ukumbini.
Salam kwa Wajumbe.
Baadhi ya Wadau wa Sanaa ya Filamu nchini waliokuwepo kwenye Mkutano huo wa BAWICHA.
Shangwe Ukumbini.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe,
akiteta jambo na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa pamoja na Mgombea Mwenza, Dkt. Juma Haji Duni, wakati wa Mkutano
wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWICHA), Uliofanyika leo Agosti 27,
2015.
Mmoja wa Kinamama wanaowakilisha Watu wenye ulemavu akizungumza kwenye Mkutano huo.
Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWICHA), Mh. Halima Mdee akifatilia
Hotuba ya Mama anaewakilisha Watu wenye Ulemavu.
Viongozi wa Kuu.
Mmoja wa Wasanii wa Filamu nchini, Jacqueline Wolper akizungumza kwa niaba ya wasanii wenzake.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipokea Keki ya
kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kutoka kwa Msanii wa Filamu nchini,
Aunt Ezekiel.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimpongeza Msanii
wa Filamu nchini, Jacqueline Wolper.
Jacqueline Wolper akizungumza kwa niaba ya wenzake.
Mke
wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mama
Regina Lowassa akitoa hotuba yake mbele ya Wanawake wa Chama hicho
waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la
LAPF, Millennium Tower, Kijitonyama jijini Dar es salaam leo Agosti 27,
2015, wakati wa Mkutano wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWICHA).
0 comments :
Post a Comment