Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu akihutubia maelfu
ya wananchi kwenye mkutano wake wa kampeni aliofanya kwenye Viwanja vya
CCM Majengo, jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro, leo.
Wananachi
wakimpongeza mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassani baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya
CCM Majengo jimbo la Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro leo.
Wananchi
wakishangilia kwa furaha wakati mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia Suluhu Hassani, alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye viwanja vya
CCM Majengo, jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro leo.
Mwananchi akishangilia kwa nguvu zake zote, mgombea mwenza kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Suluhu Hassani, alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye
viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro leo.
viwanja vya CCM Majengo, jimbo la Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro leo.
Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni
Wananchi wakijimwayamwaya Uwanjani wakati wa mkutano huo
Wananchi
wenye mkutano huo wakinyoosha mikono kuahidi kuwachagua wagombea wa
CCM, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, tangu mgombea
wa Urais, Dk John Magufuli, Wabunge na madiwani
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hassan akishiriki
kucheza ngoma, wakati kikundi cha kina mama kutoka Moshi Mjini
kilipotumbuiza wakati wa mkutano huo
Mgombea
Mwenza wa urais kwa tiketi ya CM, Mama Samia Suluhu akiwafurahia
wananchi waliokuwa wakiselebuka mbele yake kwa furaha wakati wa mkutano
huo.
Vijana wakitoa burudani wakati wa mkutano huo
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM akimshukuru Mzee, Omari Mwariko (65) , baada
ya mzee huyo kumkabidhi zawadi ya picha za Baba wa Taifa Mwalimu
Nyerere na Mzee Kawawa , wakati wa mkutano huo
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akizitazama vema picha alizokabidhiwa na mchoraji huyo, Mzee, Mwariko
Kamanda
wa Umoja wa Vijana, Kinondoni Dar es Salaam, Angela Kairuki,
akishauriana jambo na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama
Samia, wakati wa mkutano huo wa kampeni
Mgombea Ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM, Devis Mosha akimwaga sera wakati wa mkutano huo
Mama Samia, akimpongeza Devis Mosha kwa hotuba nzuri
Mbunge
wa kuteuliwa, mkoa wa Tanga, Ummy Mwalimu, akiwaombea kura wagombea wa
CCM, Dk. John Magufuli kwa upande wa Urais na wabunge na madiwani,
wakati wa mkutano huo.
Aliyekuwa
mgombea Ubunge jimbo la Nkenge, mkoani Kagera, Asupta Mshanga, akiwaasa
wananchi kuacha kuhama vyama baada ya kukosa nafasi za uongozi
wanazoomba, alipohutubia mkutano huo, akisema ” Mbona mimi licha ya kuwa
ni mwanamke, baada ya kukosa nafasi ya kugombea ubunge kutokana na kura
kutotosha nimetulia ndani ya Chama changu? Lakini wanaume wazima tena
wengine wazee, wamekosa nafasi eti wanahama!”
Mbunge
wa Afrika Mashariki Angela Kizigha akizungumza, kumkaribisha mgombea
Mwenza, Mama Samia kuzungumza, wakati wa mkutano huo. Katikati ni Katibu
Mkuu wa UWT Amina makilagi
Mgombea
mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwanadi wagombea wa Ubunge,
Davis Mosha (Moshi Mjini), Innocent Meleck (Vunjo) na Dk. Siril Chami
(Moshi Vijijini) wakati wa mkutano huo.
Wadau wakifuatilia hali ya mambo wakati wa mkutano huo. (Picha zote na Bashir Nkoromo,






















0 comments :
Post a Comment