AFISA MATEKELEZO NA URATIBU WA BIMA YA AFYA (NHIF) SALVATORY OKUMU AKITOA MADA KATIKA KONGAMANO LA WADAU WA BIMA YA AFYA DAR ES SALAAM

   Afisa Matekelezo na Uratibu wa Bima ya Afya  Salvatory Okumu, akitowa mada katika kongamalo hili    (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili, Dereck Chitama akizungumza na washiriki wa kongamano la Bima ya Afya lililoandaliwa na Policy Forum Dar es Salaam,  ambapo -upatikanaji wa huduma za Afya kwa jamii kupitia Bima hiyo ni miaka zaidi zaidi ya Ishirini imepita tangu kuanzishwa kwa bima ya Afya nchini lakini mpaka leo  zaidi ya robo tatu ya watu Tanzania hawana bima ya Afya, Hata wale waliyonayo bado wanapata huduma duni hasa kwa wale walioko vijijini, kutumia dawa na vifaa tiba ni kawaida malengi,Malengo ya Dunia yametamka wazi kwamba kila mwananchi aweze kupata huduma bora za Afya na akahoji, je,  kwa mwenendo huu wa sasa ambapo watu wengi hawana bima ya Afya Tunafika?   
Programu Afisa Mfuko wa Afya ya  Jamii, Kidani Magwila akizungumza katika kongamano hilo
 
 
 
 
 
 
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment