Rais
Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria
na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika
hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika
ajali jana. (Picha na Freddy Maro, Ikulu)
Rais
Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria
na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika
hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika
ajali jana.
Rais
wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika
Hospitali ya taifa Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa
wagonjwa.
Rais
Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika
hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza
hospitalini hapo leo na kuwafariji wagonjwa.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akitoka katika jengo la MOI.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi wananchi waliomweleza shida zao mbalimbali wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya taifa Muhimbili leo.
Rais
Dkt.john Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika
hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea
hali halisi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za Binadam,Bi
Hellen Kijo Bisimba aliyelazwa hospital ya Agakhan mapema leo kufuatia
ajali ya gari aliyoipata mwishoni mwa wiki barabara ya Al-Hassan Mwinyi
jijini Dar.
0 comments :
Post a Comment