Kamera
ya @nkupamah blog yanasa muendesha Bajaji akivunja sheria kwa kupita
pasipo ruhusiwa kupita, hii ni pamoja na kuharibu miondo mbinu ya
Barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Morogoro jijini Dar es Salaam.
Madereva
wa magari haya mambayo yameshindwa kupishana kwa usahihi wakielewana
mara baada ya kugongana leo katika Barabara ya Kilwa jijini Dar es
Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya @nkupamah blog.
Kamera
ya Mtaa kwa @nkupamah blog yanasa madereva wasiopenda kuvaa kofia ngumu(Herement)
pamoja na Serikari Jeshi la Polisi kutoa agizo la kuvaa kofia hizo
lakini wamekuwa wakiakipuuza sheria hiyo. wakingoja ningejua
ninge.......
Mchana huo marekebisho ya hali ya tumbo yakiendelea katika sehemu ya chakula kama ilivyonaswa na kamera ya @nkupamah blog
0 comments :
Post a Comment