Monday, November 30, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
(kushoto) akizungumza na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan
(katikati) na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, wakati Rais na
Waziri Mkuu walipomtembelea Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam, leo Nov 30, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
(kushoto) akiagana na Makamu wake, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)
na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa (kulia) baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Nov 30, 2015. Wa pili (kulia) ni Naibu Katibu wa Makamu wa Rais,
Mohamed Khamis
0 comments :
Post a Comment