Monday, November 30, 2015
@nkupamah blog
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia)
akizungumza na wafanyakazi wa NMB pamoja na familia zao kabla ya
kuzinduwa rasmi maadhimisho ya Siku ya Familia (family day) kwa
wafanyakazi wa benki hiyo yaliofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park
ya Jijini Dar es Salaam jana. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni
Tusherehekee pamoja mafanikio ya Miaka 10 ya NMB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto)

Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiingia katika
maadhimisho ya Siku ya Familia (Family Day) iliofanyika jana Kunduchi
Wet 'n' Wild Water Park Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakitambuliwa
kabla ya kuingia katika maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika jana
Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB, na wanafamilia zao wakipata
maelekezo kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa maadhimisho ya Siku ya
Familia (family day) kwa wafanyakazi wa benki hiyo yaliofanyika Kunduchi
Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar es Salaam jana. Kauli mbiu ya
maadhimisho ya mwaka huu ni Tusherehekee pamoja mafanikio ya Miaka 10 ya
NMB.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakipewa utaratibu
kabla ya kuingia kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia yenye kauli mbiu
ya tusherehekee Miaka 10 ya mafanikio ya benki ya NMB yaliofanyika jana
Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto)
akimkabidhi kikombe mmoja wa washindi katika mchezo wa kuogelea kwenye
maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water
Park ya Jijini Dar es Salaam jana.

Baadhi ya washindi wa mchezo wa kuogelea wakipata picha ya kumbukumbu
na viongozi waandamizi wa NMB baada ya kukabidhiwa zawadi zao kwenye
maadhimisho ya Siku ya Familia yaliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water
Park ya Jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwa katika
michezo mbalimbali na familia zao kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia
(Family Day) na iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini
Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwa katika
michezo mbalimbali na familia zao kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia
(Family Day) iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar
es Salaam jana.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakipata huduma
mbalimbali ndani ya Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park katika maadhimisho
ya Siku ya Familia iliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Malaika Bandi wakiwaburudisha wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya
NMB katika maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika Kunduchi Wet 'n'
Wild Water Park ya Jijini Dar es Salaam jana. Baadhi ya huduma za kibenki za Benki hiyo pia zilipatikana.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakifuatilia
burudani anuai katika maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika
Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakipata huduma
mbalimbali ndani ya Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park katika maadhimisho
ya Siku ya Familia na kusherehekea Miaka 10 ya benki hiyo iliyofanyika
jana Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (katikati)
akizunguka kubadilishana mawazo na baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi
wa Benki hiyo kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia na kusherehekea
Miaka 10 ya benki hiyo iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya
Jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili eneo la
Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park katika maadhimisho ya Siku ya Familia
iliyofanyika jana Jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa viongozi wa NMB (kulia) akizungumza na wanafamilia na
wafanyakazi wa Benki hiyo kabla ya uzinduzi wa maadhimisho ya Siku ya
Familia iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar es
Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke
Bussemaker.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwa katika
michezo mbalimbali na familia zao kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia
(Family Day) iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar
es Salaam jana.
Baadhi ya wanafamilia na wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwa katika
michezo mbalimbali na familia zao kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia
(Family Day) hafla hiyo ilifanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya
Jijini Dar es Salaam jana.
0 comments :
Post a Comment